Latest Episode Here

Licha ya kutazama kwenye YouTube channel yetu, pia unaweza kusikiliza TheLight™ Podcast katika platforms zaidi ya NNE mpaka sasa na hii yote ni kwa baraka za Mungu kutuwezesha kusonga na hatuna budi kumshukuru yeye Muweza wa yote Maishani mwetu.

Amen.