Matumizi yz lugha katika pragmatiki hutegemea maoni ya mtumiaji kama vile uchaguzi wa miundo yamaneno yanayofanywa, vikwazo vya kijamii inavyokabilaana navyo katika lugha na athari za kijamii zakutumia lugha. Dhana hii ndiyo inayosaidia kuelewa kwanini msemaji aamue kusema hivi na sivinginevyo, je ni masharti gani ya maamuzi yanayowakabili.

Katika semantiki, alama huelezwa kwa kuzingatia uhusiano wake na vitu vinavyoashiriwa aukurejelewa ili kueleza maana. Mfano alama au mchoro wa daraja huelezwa uhusiano wake kwakuzingatia namna ya ujeni wake, kanisa na msikiti.




Semantiki Na Pragmatiki Ya Kiswahili Pdf 48