Naamini mifano hii itakupa changamoto na mvuto katika mwanga mpya wa mtazamo wa kibiblia katika maisha yako ya ibada, na kujiunga na watakatifu wa vizazi vilivyopita na kizazi chetu, kumwabudu Mungu katika roho na kweli, na Utakatifu, na nguvu, na Utukufu hata milele.

Watu wako huru kufanya lolote mradi kufanya hivyo ni tendo la ibada na linafanywa kanisani kwa ajili ya Mungu. Mimi nikiwa mdau mkubwa wa huduma hii ya sifa na kuabudu, Nimeshuhudia na kufuatilia kwa karibu maendeleo ya Nyimbo za Injili na uimbaji wa sifa makanisani, (madhehebu) kuanzia kanisa la RC, KKKT, Moravian, Anglicana, TAG, na makanisa ya Kipentekoste yote, na huduma zote kwa muda wa miongo miwili.


Kusifu Na Kuabudu Mp3 Download Dj Mwanga


Download File 🔥 https://ssurll.com/2y3Dfo 🔥



Kitabu hiki cha Tumwabudu Mungu wetu ni kitabu cha nyimbo za injili ambacha kina nyimbo tofauti tofauti kinaweza kutumiwa na watu wajamii yote ilihali atakuwa ni mpenzi wakuimba ,kusifu au kuabudu Mungu wambiguni aliye hai.

Kabla au baada ya somo, ni vizuri kuchagua wimbo unao shangilia mwanga wa kristu. Wakati wimbo huu unaimbwa, watoto au vijana wadogo wanaweza kupita mbele na mishumaa kuwasha taa ya mafuta iliyowekwa juu ya stendi. Ishara hii inatukumbusha kuwa hata kama ni usiku wa giza nene iwe maisha yetu wenyewe au maisha ya kiutu, pendo la kristu ni moto usiotoweka kamwe.

Kama umeshawahi kupata fursa au bahati ya kuwepo mahali watu wanabomwabudu Mungu kiukweli kuna mambo ambayo lazima umekuwa ukiyaona katikati ya watu wanao mwabudu Mungu katika uhalisi wake ambayo yamekusaidia kuanza kupata mwanga kidogo juu ya kuabudu.

Mara nyingi ukikuta watu wanamwabudu Mungu utaona wamenyanyua mikono ya juu kwa Mungu ila sio kila kunyayua mikono ni kuabudu. Unaweza ukaona watu wakiwa wamenyanyua nyuso za kuelekea juu na wakati mwingine kuna machozi yanawatoka lakini sio kila kunyayua uso juu na kutokwa machozi ni kumwabudu Mungu. Unaweza ukawaona watu katika kumwabudu Mungu wamepiga magoti lakini sio kila kupiga magoti ni kumwabudu Mungu. Unaweza ukawaona watu wamesujudu au kulala kifudi fudi mbele za Bwana lakini sio kila kusujudu au kulala kifudi fudi ni kumwabudu Mungu.

Kinyume na fikra za wengi, uwepo wa Mungu hauletwi na kuabudu bali kuabudu ni mwitikio wa mwanandamu kwa uwepo wa Mungu uliyodhihirishwa. Uwepo wa amungu ukijidhihirisha mwitikio wa mwanadamu kwa uwepo huu ndiko kuitwako kuabudu. Sasa sio kuabudu kunakoleta uwepo wa Mungu bali ni sifa ndiyo huleta uwepo wa Mungu.

Unaweza ukamfundisha mtu kusifu lakini huwezi ukamfundisha mtu kuabudu. Kusifu kwafundishika bali kuabudu hukamatika tu maana ni kitu ambacho kinafanya na roho yako japo hujidhihirisha kwenye nafsi na mwili wako lakini mahali hasa ambapo ibada ya kweli huanzia ni kwenye roho yako.

Mungu hawatafuti tu wamwabuduo bali anawatafuta wamwabuduo halisi. Hii ni dhahiri kuwa kuwa waabudu halisi na kuna waabudu wa kuegeza. Wa kuegeza wanajua kila kitu ambacho inabidi kifanyike ili kuabudu. Wanajua nyimbo za kutumia, wanajua jinsi ya kujiweka ili tu waonekane wanaabudu. Lakini bila uwepo wa Mungu kujidhihirisha kwanza hapawezi kuwa na kuabudu halisi hata siku moja.

Moja ya vitu ambavyo vinasababisha kuabudu kwako na kwangu kuboreke zaidi ni kiasi ambacho binafsi unamjua Mungu naye mwabudu. Ukimjua Mungu unaye mwabudu utajua jinsi sahihi ya kumwitikia anapojidhIhirisha na uwepo Wake. Ndo maana Yesu akamwambia yule mwanamke Msamaria, Nyie mnaabudu msichokijua, sisi tunaabudu tukijuacho kwa maana wokovu watoka kwa Wayahudi.

C unaona inavyosema kwenye huo mstari hapo juu? Dhamiri iliyonajisiwa kwa dhambi haina uwezo wa kumwabudu Mungu na ndo maana damu ya Yesu hutakasa dhamiri zetu na kazi mfu tupate kumwabudu Mungu aliye hai. Kumbuka tulisema kuwa kuabudu ni mwitikio wetu kwa uwepo wa Mungu uliyodhihirishwa.

Unaona hapa uwepo wa Mungu ulijidhihirisha kwa Isaya lakini kwa sababu Isaya alikuwa ana dhambi nyemelezi maishani mwake badala ya kuabudu alitumia fursa hiyo kutengeneza na Mungu japo uwepo wa Mungu ulidhihirishwa ili aabudiwe.

Sio kila mtu anayeonekana kama anaanudu uwepo wa Mungu ukija anaabudu kweli. Wengine ndo wanatumia fursa hiyo kutengeneza na Mungu maana ndo keshakuja. Sio kila chozi ni chozi la moyo uliyoguswa na uwepo wa Mungu katika kuabudu. Machozi mengine ni machozi ya toba. Kusujudu kwingine ni kusujudu kwa toba. Kupiga magoti kwingine ni kupiga magoti katika toba. Ni Mumgu tu na yule mtu mdo wanajua uhalisi wa kinachoendelea pale. 2351a5e196

hitman download blood money

rock band 4 download all purchased songs xbox one

gce o level results 2023 pdf download

castro jealousy mp3 music download

beamng apk download