Abunuwasi wa hekaya ni mjanja anayeshindana mara kwa mara na tabia mbaya za watu wenzake kama vile walafi, matajiri wasio na huruma, akiwadanganya kwa kutumia mbinu zao wenyewe. Mara nyingi hadithi zilezile zinasimuliwa pia katika nchi nyingine za Waislamu kwa majina kama hekaya za Nasreddin, Guha au "hekaya za Mullah".[1]
Mchoraji Mtanzania Godfrey Mwampembwa (anayejulikana kwa jina la Gado) alitunga kitabu cha vibonzo kwa jina la Abunuwasi kinachosimulia tatu za hekaya zake.[2] Kitabu hiki kilitolewa na Sasa Sema Publications mwaka 1996.[3]Kuna matoleo kadhaa ya hekaya ya miaka ya nyuma.
Hekaya Za Abunuwasi Pdf Download
Download Zip 🔥 https://geags.com/2y1KjY 🔥
be457b7860
Death becomes her full movie torrent
Index Of Microsoft Office 2019
Microsoft Office Professional Plus 2010 Product Key Version 14047341000
Incarnation Song Free Download