Moja ya wasanii ambao waliokuwa wanaunda kundi la Ya moto Band Enock Bella amefunguka na kusema kuwa watu wengiwameku wakisema kuwa kundi la ya moto band limekuwa halina mawasiliano na wamekuwa katika mgogoro tangu wametengana na kwamba hawataweza kufanya chochote pamoja lakini maneno hayo si ya kweli hata kidogo.

Itafika sehemu tutachukua nyimbo za ya moto band na kuzipeleka tena kwa mashabiki wetu,usishangae kusikia kuna ngoma yangu na Aslay, au ukasikia ngoma yangu na beka au moja kati ya hao na Maromboso.bado upendo wetu uko palepale.


Download Nyimbo Za Ya Moto Band


Download File 🔥 https://tinurll.com/2y3LiO 🔥



Baada ya Ya Moto Band kusambaratika katika umoja wa band yao wasanii hao walianza kufanya kazi kila mmoja chini ya uongozi wao huku Aslaya akiwa wa kwanza kutoa nyimbo zake na zimekuwa nyingi kuwazidi wote , huku Maromboso nae akiwa amechukuliwa na uongozi mpya wa wasafi na kwa sasa ameanza kuachia ngoma zake.

Vijana Jazz Orchestra (also known as Vijana Jazz Band or simply Vijana Jazz)[1][2] is a Tanzanian muziki wa dansi band that reached its peak of popularity in the 1980s.[2] As with many other dansi bands of the times, it was sponsored by a government institution, namely the Umoja wa Vijana, i.e., the youth wing of Tanzania's ruling party Tanganyika African National Union (TANU) (renamed Chama cha Mapinduzi in 1977).[2][3]

The band was founded in 1971 by John Ondoro Chacha. In 1978, the Tanzanian government passed a law that allowed bands to purchase foreign instruments (something that had previously been forbidden by the Baraza la Muziki la Taifa, a governative council responsible for the regulation of the music business). Vijana Jazz was one of the first bands to take on this opportunity, and in the 1980s it became extremely popular because of its innovative sound that made use of synthesizers and drum machines.[4]

Popular mitindo (styles) created by Vijana Jazz include sindimba, heka heka, koka koka, watoto wa nyumbani and pamba moto. Some of the most notable musicians that have played in Vijana Jazz are Hamza Kalala, Hemedi Maneti, Issa Chikupele and Manitu Musa.

Aslay, who was a member of the defunct Yamoto music band that comprised Mbosso, Beka Flavour and Enock Bella, said the band disintegrated because of Rayvanny.Speaking during an interview with Millard Ayo, Aslay admitted that Yamoto was already on its deathbed but stressed that Rayvanny hammered the final nail in the band's coffin when he was unveiled by Diamond Platnumz's record label Wasafi.Rayvanny joined Wasafi in 2016 and he was immediately gifted a Toyota Rav 4 by the label to use for his commutes. (He quit the label in July 2022.)Also Read: 

Bila shaka, sote tujiulize hili na tuone namna ya kukabiliana na changamoto hizo, lakini hakuna shaka yoyote kuwa kutingisha na kukubalika kwa wimbo huo, kunatokana na ubainishaji ulio wazi wa vitendo vichafu vinavyofanywa ndani ya jamii, mpaka watoto wanakuwa mashahidi. Ni ushahidi wa wazi kabisa jinsi maadili yalivyoporomoka katika jamiii.

Pamoja na kukubalika huko bado Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) na wadau wengine, wana wajibu wa kupitia na kuzikagua nyimbo kama hizo ili kuyabaini mapungufu yanayoweza kuathiri imani, mila, desturi na tamaduni zetu.

"Hata badaye vile kikundi kilivo vunjika kilinipa nguvu sana kwendelea na kazi yangu mwenyewe, Yamoto bendi kama yamoto bendi tulikua tunaishi kwenye kituo cha Mkubwa na Wanawe , tulikua tunaishi kama Ndugu. Mafanikio yetu tena , kila mtu alikua anatamani kujiona kama yeye amefikia sehemu gani. Tulikua tunaona hela, tulikua tunajua hapa kuna zuri na kuna baya. Kila shabiki anasifia moja kati yetu.kila mtu alitaka kutupa nanga kwa upande wake."

Alianza kufahamika kuanzia mwaka 2011 baada ya kutoa kibao chake cha Nakusemea alichokitoa akiwa chini ya Mkubwa Fella. Kabla ya hapo, alitoa wimbo mwingine uitwao Niwe Nawe akiwa amemshirikisha Temba. Baadaye akatoa nyimbo nyingine kadhaa kabla ya kujiunga na bendi ya vijana ya Yamoto Band.

Akiwa ndani ya bendi hiyo, alionesha uwezo mkubwa wa kuimba, akiwa na wenzake, Beka Flavour, Maromboso na Enock Bella. Nyimbo alizoshiriki kutunga na kuimba akiwa Yamoto Band ni pamoja na Yamoto (Nitajuta), Cheza Kwa Madoido, Mama, Nisambazie Raha na nyingine nyingi.

Kayumba, mwenye wakati BSS inaanza alikuwa na umri wa miaka 10 tu, alionekana tangu awali kuwa angeshika moja ya nafasi za juu, akifanikiwa kushawishi mashabiki kumshangilia kwa nguvu kila alipopata nafasi ya kutumbuiza na akitumia nyimbo maarufu na zinazopendwa na mashabiki.

Mshindi wa kwanza wa BSS, Jumanne Idd pia alifanikiwa kuibuka na ushindi kutokana na kutumia zaidi nyimbo maarufu, hasa za Jose Chameleon ambaye wakati huo alikuwa akitetemesha nchi za Afrika Mashariki na Kati.

Washiriki wote walijitahidi kuonyesha uwezo, huku Frida na Angel wakiwashangaza majaji na mashabiki kutokana na uwezo wao wa kunengua, huku Fonabo akionyesha umahiri wa kuchezea sauti wakati wa kuimba. Calvin alionyesha umahiri wa kuimba na kucheza nyimbo za asili, akiwa amevalia mavazi ya kiasili.

MIAKA miwili imepita tangu kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band ambalo lilikuwa linabamba kinoma. Baada ya kufa kwa makundi ya Bongo Flava yaliyokuwa na mashabiki wengi kama East Coast, Wanaume Family, Wanaume TMK, Daz Nundaz vichwa vikakaa chini ya kuwakusanya vijana wanne wenye vipaji na kuunda Yamoto. Shukrani kwa Mkubwa Fela, ambaye aliwakusanya Beka Flavour, Aslay, Mbosso Khan na Enock Bella.

Hapa ukimya wetu ndio umezalisha mambo hayo... uvumi umekuwa mwingi sana kuhusu sababu za kuvunjika kwa Yamoto. Lakini, ukweli ni maslahi tu ndio chanzo cha kundi letu kusambaratika.

Ninapozungumzia juu ya maslahi namaanisha hivi: Tulikuwa tukifanya shoo na kupata Sh10 milioni na kwenye bendi tuko wasanii watano, ambapo wanne waimba na mmoja dansa ambaye ni Chiba.

Tulikuwa na upepo wa kupendwa na tulikuwa na kichwa kizuri cha kutunga nyimbo za kuwateka mashabiki, yaani ningekuwa na uwezo ningeirudisha hiyo bendi tungefanya biashara kubwa kwa sababu kila mtu ameshatengeneza mashabiki nje ya kundi.

Beka, ambaye ametamba na nyimbo kama Libebe, Kibenten, Sikinai, Siachani Naye, Sarafina na nyingine nyingi anafunguka kwamba, tangu ameondoka Yamoto Band maisha yake yamebadilika na kipato kimeongezeka kwa kasi. 2351a5e196

clas of clas indir

sharechat photo download tamil

omaha poker free download for android

download quotes app

afto 3.5.0 apk