Biblia Takatifu ya Kiswahili (Swahili Bible) Agano la Kale na JipyaBiblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana \"vitabu\" tu, inavyomaanishwa na neno \"biblia\" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki \"biblos\" yaani \"kitabu\".Hutofautishwa na Tanakh ambayo ndiyo maandiko matakatifu ya dini ya Uyahudi na ambayo pengine inatajwa kwa jina lilelile la \"Biblia\", hasa katika matoleo ya Biblia ya Kiebrania . Vitabu vyake vimo katika sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo kwa jina la \"Agano la Kale\".Biblia ya Kikristo hugawiwa sehemu mbili ambayo ni Agano la Kale na Agano Jipya. Agano la Kale lina maandiko yaliyoandikwa kabla ya Yesu Kristo na vitabu vya Agano Jipya viliandikwa baada yake.Agano la KaleKimsingi vitabu vya Agano la Kale ni vilevile vya Biblia ya Kiebrania, ingawa madhehebu ya Kikristo hutofautiana kidogo katika hilo. Ni kwamba wakati wa kutokea kwa Ukristo palikuwa na tofauti ndani ya Uyahudi kuhusu vitabu vilivyohesabiwa kuwa maandiko matakatifu. Suala hilo liliondolewa kuanzia mwaka 80 BK wataalamu wa Wayahudi wa huko Jabneh (Jamnia) walipochukua msimamo mkali dhidi ya wafuasi wa Yesu.Kwa wakati huo Wakristo walikuwa wamezoea tayari toleo la Kigiriki la maandiko matakatifu yaliyotafsiriwa katika karne ya 2 KK ambalo linajulikana kwa jina la Septuaginta na kuwa na vitabu kadhaa visivyokuwa vimetunzwa katika lugha asili ya Kiebrania wala ya Kiaramu, au vilivyoandikwa moja kwa moja katika lugha ya Kigiriki.Hivyo Biblia ya Kikristo ilikuwa na vitabu 7 (viwili vya Wamakabayo, Yoshua bin Sira, Hekima, Tobiti, Yudith na Baruku, pamoja na sehemu za Esta na Danieli) visivyokubaliwa baadaye na Wayahudi.Vitabu hivyo 7 vikaja kukataliwa na Martin Luther katika karne ya 16, halafu na Waprotestanti wengi, lakini vinazidi kutumiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kwa jina la Deuterokanoni.Agano JipyaKuna vitabu 27 vya Agano Jipya. Vinne vya kwanza ni Injili nne zinazoleta habari za maisha, matendo na maneno ya Yesu.Vingine ni Matendo ya Mitume, Nyaraka za Mitume, hasa Mtume Paulo, na Ufunuo wa Yohane.

Biblia ya Kikristo ni mkusanyo wa maandiko matakatifu ya Ukristo. Maandiko hayo mbalimbali yanaitwa tangu zamani sana "vitabu" tu, inavyomaanishwa na neno "biblia" ambalo ni uwingi wa neno la Kigiriki "biblos" yaani "kitabu".


Biblia Takatifu Agano La Kale Na Jipya Download Pdf Downloader


Download 🔥 https://urluso.com/2y2NaX 🔥



These various texts are called from ancient times only. Bible society of tanzania  neno: bibilia takatifu ( nen). The new testament the new testament the christian bible is a collection of sacred christian texts. Usitumie files hizo kwa ajili ya biashara. Biblia ya kiswahili yenye tafakari ya neno la kila siku, download free kwa kupata mistari ya kila siku, neema juu yenu. Kupakua / download document file au pdf file, bofya kulia ( right- click) jina la biblia hapo chini, chagua ' save. Pdf letter size 12 point color ( 274 pages)  swh1850_ a4. Wakristo kutoka tanzania na kenya.

Lyeye biblia ni seti ya maandiko matakatifu kwa wayahudi na wakristo. Pdf a4 size 12 point color ( 1277 pages). Pdf a4 size 12 point color ( 301 pages). The holy bible in kiswahili, 1952 union version ( agano la kale na jipya) the. Sala ya rosari ni tafakari ya maisha ya bwana wetu yesu kristo. ff782bc1db

whatapp download

smart remote management software download

download th live

download game bounce out for pc

graph api download email as eml