Home‎ > ‎

Swahili

TRANSLATION BY V. GICHUKI NJUGUNA

 1. The teacher of the future is a GUIDE on the SIDE, not a sage on the stage.

Mwalimu wa masiku ya usoni ni kiongozi kwa upande wako, sio muhubiri katika mathabahu.


 1. Education is NOT the filling of a pail, but rather the LIGHTING of a FIRE.

Elimu sikujaza ndoo, bali nikuwasha moto.


 1. Most students might forget what you taught them, but they will always remember how you treated them.

Wanafunzi wengi watasahau ulivyo wafundisha, lakini hawatasahau ulivyo walea.


 1. A big obstacle to bringing Computer Assisted instruction into the classroom is the teacher, because teachers love to perform.

Mwalimu ndiye kizuizi kikubwa katika kuleta maelezo kupitia tarakirishi darasani , hii ni kwa sababu waalimu wanapendelea kufanya kazi wao wenyewe


 1. Jack is a boy from Brooklyn who dropped out of school to avoid terminal boredom.

Jack ni kijana kutoka Brooklyn alieacha shule kwa kukosa hamu.


 1. I never let school get in the way of my education.

Siwezi kubali shule iingilie kati elimu yangu


 1. Drive out fear.

Ondoa uwoga


 1. Never do for a child what a child can do for himself.

Usimfanyie mtoto kile anachoweza kujifanyia mwenyewe


 1. There are 2 billion children in the developing world. Instead of asking their teachers to "reinvent the wheel" every day, why not share lesson plans that work with their 59 million teachers?


Kuna watoto bilioni mbili katika nchi zinazostawi. Badala ya kuwalazimisha walimu wao kutumia mizee ile ile siku baada ya siku, afadhali kubuni mipango ya kimasomo inayoingiana na wale walimu milioni 59 kuko huko.


 1. Keep Teacher Talking Time to a minimum.

Mwalimu atumie dakika chache kuongea.
 1. What a gift some power could give us: to see ourselves as others see us.

Zawadi gani nguvu hutupa:tujione nafsi zetu kama wengine wanavyo tuona.


 1. The goal is to gradually transfer responsibility for learning to the student.

Lengo ni kupitisha jukumu la kusoma kwa wanafunzi.


 1. Schools teach children to obey.  But we need creative answers to the challenges of our times.  Many of the people who've had the greatest influence on our times were failures in school.

Shule hufundisha watoto heshima,lakini twahitaji maarifa kuepukana na changamoto za kila wakati. Wengi walionawiri hawakufua dafu shuleni.


 1. The greatest sign of success for a teacher is to be able to say, "The children are now working as if I did not exist.”

Ishara kubwa ya mwalimu kufaulu ni pale ambapo atasema, “Watoto wanafanya kazi kana kwamba sipo”.


15  Let’s create people who are capable of doing new things, not simply of repeating what other generations have done.

Hebu tutayarishe kizazi kibunifu, sio kurudia vitu vizazi vilivyotangulia vimefanya.

16   Innovative schools offer small classes, individualized instruction, and flexible curricula which can accommodate the child. The same teacher stays with the same group of children for as many as eight grades. The teacher has to grow and learn with the children.


Shule bunifu huwa na wanafunzi wachache darasani, maelezo ya kibinafsi na mfumo wa masomo unaokidhi mahitaji ya mwanafunzi. Mwalimu yule yule atasalia na wanafunzi wale wale kwa muda wa miaka minane. Kwa hivyo,yule mwalimu atakuwa na kuelimika pamoja na wanfunzi.


17    Many teachers believe that they need to control how they teach and how they test.  Other teachers negotiate with their students what they will learn, when they will learn it and how we will check that they have learned it.


Walimu wengi wanaamini kwamba wanahitaji kudhibiti jinsi wanavyofunza na kutahini. Walimu wengine hujadiliana na wanafunzi kuhusu nini watasoma, lini watasoma na jinsi watakavyotahiniwa.


18   Until we find the child’s passion, it’s just school.  When the child finds his passion, we teach to that passion.  We can find internships for high school students: Kids say, “I love this internship!”

Shule ni shule tu hadi tutakapogundua kile ambacho mwanafunzi anakipenda. Mtoto atakapogundua kitu akipendacho, tutafunza kulingana nacho. Tutawatafutia wanafunzi wa shule za upili utarajali. Alafu wataseme, “ninapenda kuwa tarajali mahali hapa!”.


19   Unfortunately, to most people, teaching is the giving of knowledge.  What are you going to tell the students?  What is your expertise?  But teaching is really about bringing out what's already inside people.

Kwa bahati mbaya, watu wengi husema kuwa, kufunza ni kupatiana hekima. Utawaambia wanafunzi nini? Umesomea nini? Kwa kweli, kufunza ni kutoa nje kilicho ndani ya watu.


20   If individuals have different kinds of minds, with varied strengths, interests and strategies, then could biology, math and history be taught AND ASSESSED in a variety of ways?

Kama watu binafsi wako na fikira binafsi, zilizo na uzito, uvuti na mikakati tofauti, basi masomo ya bayologia, hesabu na historia yafunzwe na kutahiniwa kwa njia tofauti?


21    Trust.  Truth.  No Put-downs.  Active Listening.  Personal Best.

Hakuna kuekachini uaminifu na ukweli, uzuri wa mtu, nikuskiza kwa makini.

RETURN TO GUIDEONTHESIDE.COM

Comments