Tumegundua maneno mengi magumu katika kuswahilisha teknolojia ya habari na mawasiliano. Tunaomba msaada wako - tafadhali changia maoni yako kwenye kila faili hapo chini.
Notice, March 9: We have added one final set of terms, Pack 6. Please complete all six packs!
Tangazo, 9 Machi: Tumeongeza seti ya mwisho, Furushi la 6. Twaomba ukamilishe mafurushi yote sita!
This effort to seek community input for harmonizing Swahili localization terminology is organized by the Kamusi Project, with encouragement from the African Network for Localization, BAKITA, the Microsoft Local Language Program, and Google Africa.
Thank you for taking the time to offer your opinions about various terms that should be used for localizing software into Swahili. The terms that appear in these lists are either (1) terms that have more than one possible Swahili equivalent, or (2) do not have any easy Swahili equivalents. Terms and examples come from a variety of sources, including the ANLoc Terminology Glossary, Microsoft, KiLinux, Google Nairobi, and tzLUG.
Asante kwa kutoa maoni yako kuhusu istilahi ya kutumiwa wakati wa kutafsiri programu za tarakilishi katika Kiswahili. Maneno utakayoona katika orodha hizi (1) yanalingana na zaidi ya neno moja la Kiswahili, au (2) hayalingani na hata neno moja la Kiswahili. Istilahi na mifano inatokana na vyanzo vingi mbalimbali, kama Kamusi ya Istilahi ya ANLoc, Microsoft, KiLinux, Google Nairobi, na tzLUG.
Deadline Extended by One Week/ Tumeongeza Wiki Moja - Project must be completed by March 14!!!
We have divided the work into several packs. Please help us by reviewing ALL of the packs, not just one! Reviewing must be completed by 11:59pm, Sunday, March 7 March 14, 2010.
Tumegawa kazi katika furushi mbalimbali. Twaomba msaada wako kuchangia maoni kuhusu mafurushi yote, siyo moja tu! Ni lazima shughuli hii imalizwe kabla ya saa 5:59 usiku, Jumapili, 7 Machi 14 Machi, 2010.
Maneno Magumu: Furushi la 1/ Pack 1 - 22 terms or sets/ seti au maneno 22 Completed/ Tayari
Maneno Magumu: Furushi la 2/ Pack 2 - 24 terms or sets/ seti au maneno 24
Maneno Magumu: Furushi la 3/ Pack 3 - 25 terms or sets/ seti au maneno 25
Maneno Magumu: Furushi la 4/ Pack 4 - 25 terms or sets/ seti au maneno 25
Maneno Magumu: Furushi la 5/ Pack 5 - 25 terms or sets/ seti au maneno 25
Maneno Magumu: Furushi la 6/ Pack 6 - 28 terms or sets/ seti au maneno 28