Maono Yetu ya Mbele


Maono yetu ya Mbele kama Timu

 

 

Kuwa na Timu karibu kila mkoa Tanzania ambao watakuwa na mzigo na wa kufikisha Ujumbe wa Injili ya Yesu Kristo kwa njia ya uandishi wa Vitabu.

 

 

Kuwaweka mikakati ya kuwatumia Moyo Wakristo kutumia vitabu vyetu katika vikundi vidogo vidogo vya kujisomea Biblia, na hata katika familia zao.

 

 

Kuwa na kituo (maktaba) ya kujisomea Neno la Mungu kwa mafundisho mbalimbali.

Kuwa na vipindi radioni na kwenye Television kwa ajili ya kutoa mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu.