Shule za Umma za Akron zinajivunia kutoa kwa wanafunzi na walezi wote ufikiaji wa ratiba, matokeo au alama, maelezo ya mawasiliano ya mwalimu, kani za darasani na mahudhurio kupita Kituo cha Ufikiaji Nyumbani (HAC). HAC inaruhusu watumiaji kusasisha madaraja na maendeleo yanayofanywa katika kozi katika mwaka mzima wa shule.
Ili kuingia katika HAC unaweza kutembelea www.akronschools.com na kisha ubonyeze sehemu ya Kituo cha Ufikiaji Nyumbani yaani Home Access Center.Huko utapata habari zaidi kwa kuongeza kitabu cha mwongozo cha HAC. Unaweza pia kuingia moja kwa moja kwenye HAC KWA kutembelea:: https://homeaccess.akron.k12.oh.us/HomeAccess
Ili kuunda akaunti yako lazima::
Bofya kwenye kiungu kinachosema “Bofya Hapa ili Kujiandikisha na Msimbo wa Ufikiaji."
Weka msimbo wa ufikiaji uliotolewa katika barua hii pamoja na tarehe ya kuzaliwa ya mmoja wa wanafunzi wako katika umbizo la mm/dd/yyyy yaani kuanza na mwezi siku alafu mwaka.
Unda jina la mtumiaji na nenosiri. Tunapendekeza utumie anwani yako au barua pepe kama jina lako la mtumiaji unaposajili.
Weka maswali na majibu ya changamoto ili uweze kurejesha nenosiri lako ukilisahau.
Huhitaji kufanya vitendo vilivyo rodheshwa iliwa tayari umeunda jina la mtumiaji na nenosiri.You will not need to perform the actions listed if you have already created a username and password.
Jina la Mlezi: [ANGALIA NAKALA YA KIINGEREZA KWA HABARI HII]
Jina la mtumiaji: [ANGALIA NAKALA YA KIINGEREZA KWA HABARA HII]
Msimbo wa kufikia: [[ANGALIA NAKALA YA KIINGEREZA KWA HABARI HII]
Ufikiaji wa Wanafunzi: Ni muhimu kwa shule za Umma za Akron kwamba wanafunzi mara kwa mara waendelee kukuza maendeleo yao katika Kozi. Wanafunzi wana uwezo wa kuona ufikiaji wao binafsi kwa HAC kupitia kupitia tovuti ya APSlearns kwa kubofya kigae cha HAC. Wanafunzi wako wanapaswa kujua nywili zao binafsi zinazotolewa shuleni.
Ukiona hitilafu katika yaliyo hapo juu, au ikiwa una maswali mengine yoyote kuhusu Kituo cha Kufikia Nyumbani (HAC) tafadhali wasiliana na ofisi ya shule ya mwanafunzi wako.