Difficult words in Swahili ICT localization

Tumegundua maneno mengi magumu katika kuswahilisha teknolojia ya habari na mawasiliano.  Tunaomba msaada wako - tafadhali changia maoni yako kwenye kila faili hapo chini.

Notice, March 9: We have added one final set of terms, Pack 6. Please complete all six packs!
Tangazo, 9 Machi: Tumeongeza seti ya mwisho, Furushi la 6. Twaomba ukamilishe mafurushi yote sita!

This effort to seek community input for harmonizing Swahili localization terminology is organized by the Kamusi Project, with encouragement from the African Network for Localization, BAKITA, the Microsoft Local Language Program, and Google Africa.

Thank you for taking the time to offer your opinions about various terms that should be used for localizing software into Swahili.  The terms that appear in these lists are either (1) terms that have more than one possible Swahili equivalent, or (2) do not have any easy Swahili equivalents.  Terms and examples come from a variety of sources, including the ANLoc Terminology Glossary, Microsoft, KiLinux, Google Nairobi, and tzLUG.
Asante kwa kutoa maoni yako kuhusu istilahi ya kutumiwa wakati wa kutafsiri programu za tarakilishi katika Kiswahili.  Maneno utakayoona katika orodha hizi (1) yanalingana na zaidi ya neno moja la Kiswahili, au (2) hayalingani na hata neno moja la Kiswahili.  Istilahi na mifano inatokana na vyanzo vingi mbalimbali, kama Kamusi ya Istilahi ya ANLoc, Microsoft, KiLinux, Google Nairobi, na tzLUG.